Kikwa

Kikwa (pia Kibaa) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakwa. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kikwa imehesabiwa kuwa watu 7000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikwa iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search